Fluffy Shaggy Rug
TZS 320,000
Maelezo ya Bidhaa
Zulia laini la manyoya marefu (Fluffy Shaggy Rug), rangi ya Light Grey/Silver Grey. Linafaa kwa sebule, chumba cha kulala au sehemu ya mapumziko. Linaongeza uzuri na mwonekano wa kisasa nyumbani.
Tathmini
Bado hakuna tathmini.